Mfumo wa Taarifa za Wanaohudumiwa – BAKWATA Wilaya ya Temeke
Kuhusu Mfumo Huu

Mfumo huu unaonyesha makundi yote yanayohudumiwa na BAKWATA Wilaya ya Temeke. Bonyeza kundi lolote kupata taarifa zaidi.

Misikiti

Orodha ya misikiti iliyosajiliwa rasmi na BAKWATA ndani ya Wilaya ya Temeke

Madrasa

Madrasa zinazotoa elimu ya Qur'an na masomo ya dini zilizosajiliwa wilayani

Wachinjaji temeke

wachinjaji wanaotoa huduma katika wilaya ya temeke

Wachinjaji wa Halal

Wachinjaji wote walioorodheshwa hapa wamepewa leseni za BAKWATA na wanafuata sheria za uchinjaji wa Kiislamu (Dhabiha).

Wafungishaji Ndoa

Wafungishaji ndoa wenye leseni za BAKWATA na RITA wilayani

Wafungishaji Walioidhinishwa

Wafungishaji hawa wana leseni halali za BAKWATA na zimesajiliwa pia na RITA.

Wataalamu wa Dini na Sekula

Orodha ya wataalamu wa kidini na sekula walioidhinishwa na BAKWATA wilayani

Taasisi za Kiislamu

Taasisi zote za Kiislamu zilizosajiliwa katika Wilaya ya Temeke

Vituo vya Watoto Yatima

Makazi na vituo vya malezi kwa watoto yatima wilayani

Viongozi wa Vyuo

Viongozi wa vyuo na shule za Kiislamu vilivyosajiliwa wilayani

Wajane

Wajane wanaopata huduma za msaada wa kijamii na kisaikolojia

Walemavu

Wanaohudumiwa wenye ulemavu wanaopata msaada maalum kutoka BAKWATA