Karibu kwenye Tovuti Rasmi ya BAKWATA Wilaya ya Temeke | Tukuendelea kuimarisha dini, elimu, na maendeleo ya jamii | Simu: 0687-513628
بسم
🌙 Baraza Kuu la Waislamu Tanzania

BAKWATA Wilaya ya Temeke

Dar es Salaam, Tanzania

Tunaendesha shughuli za dini, elimu, na maendeleo ya jamii kwa kuzingatia maadili na misingi ya Kiislamu katika Wilaya ya Temeke.

70+
Idadi ya Misikiti
50+
Idadi ya Madrasa
0
Idadi ya Taasisi
1968
Mwaka wa kuanzishwa

Karibu Kwenye Tovuti Rasmi ya BAKWATA Wilaya ya Temeke

Tovuti hii imeandaliwa kwa lengo la kuwasiliana na jamii ya Kiislamu na wote wanaotaka kujua zaidi kuhusu shughuli na huduma zinazotolewa na BAKWATA Wilaya ya Temeke.

Tunawahimiza wananchi wote kuntembelea tovuti hii mara kwa mara ili kujua habari mpya, matukio, na huduma mbalimbali tunazotoa.

Soma Zaidi →
بِسْمِ اللهِ الرَّحْمٰنِ الرَّحِيمِ

Ujumbe wa Sheikh wa Wilaya

Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Tunakushukuru kwa kutembelea tovuti yetu rasmi. BAKWATA Wilaya ya Temeke inafanya kazi kwa bidii kuimarisha imani na maendeleo ya jamii.

— Sheikh Zailai Hassan Mkoyogore, Sheikh wa Wilaya

Tunachofanya kwa Jamii

BAKWATA Wilaya ya Temeke inatoa huduma mbalimbali kwa jamii ya Kiislamu na wote wanaohitaji msaada

Inapakia huduma...

Huduma Zote →

Matukio na Habari za Hivi Karibuni

Fuatilia habari na matukio ya BAKWATA Wilaya ya Temeke

Inapakia habari...

Habari Zote →

Viongozi wa BAKWATA Wilaya ya Temeke

Sheikh Zailai Hassan Mkoyogore

Sheikh wa Wilaya

Mudhihiri Abdallah Mchoye

Katibu wa Wilaya

Alli Mohammed Mtulya

Mwenyekiti wa Wilaya

Kuhusu Uongozi Wetu →

Je, Una Swali au Unahitaji Msaada?

Ofisi yetu iko wazi kwa huduma zote. Wasiliana nasi kupitia simu, barua pepe, au uje ofisini moja kwa moja.