Tunaendesha shughuli za dini, elimu, na maendeleo ya jamii kwa kuzingatia maadili na misingi ya Kiislamu katika Wilaya ya Temeke.
Tovuti hii imeandaliwa kwa lengo la kuwasiliana na jamii ya Kiislamu na wote wanaotaka kujua zaidi kuhusu shughuli na huduma zinazotolewa na BAKWATA Wilaya ya Temeke.
Tunawahimiza wananchi wote kuntembelea tovuti hii mara kwa mara ili kujua habari mpya, matukio, na huduma mbalimbali tunazotoa.
Soma Zaidi →Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Tunakushukuru kwa kutembelea tovuti yetu rasmi. BAKWATA Wilaya ya Temeke inafanya kazi kwa bidii kuimarisha imani na maendeleo ya jamii.
— Sheikh Zailai Hassan Mkoyogore, Sheikh wa Wilaya
BAKWATA Wilaya ya Temeke inatoa huduma mbalimbali kwa jamii ya Kiislamu na wote wanaohitaji msaada
Inapakia huduma...
Fuatilia habari na matukio ya BAKWATA Wilaya ya Temeke

Sheikh wa Wilaya

Katibu wa Wilaya

Mwenyekiti wa Wilaya